Recent content by Tally q

  1. Tally q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba kuuliza. Hivi naweza kuweka engine ya 1G-FE kweny brevis kwa gear box ile ile ya 1jz
  2. Tally q

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Kiswahili Yaliyopotea

    Nyangema
  3. Tally q

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu ndugu zangu: Ni engine gani inafaa kwenye Toyota Brevis ukiachana na 1JZ & 2JZ

    Je ni rafik kwa mazingira ya kibongo bongo maana mafuta yetu sio quality muda mwingine
  4. Tally q

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu ndugu zangu: Ni engine gani inafaa kwenye Toyota Brevis ukiachana na 1JZ & 2JZ

    Sawa sawa itabid nihamie kweny 1G Je ntakapoiwek 1G kutakua na haja ya kubadil na gear box mkuu?
  5. Tally q

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu ndugu zangu: Ni engine gani inafaa kwenye Toyota Brevis ukiachana na 1JZ & 2JZ

    Wakuu! Nina Toyota Brevis ina engine ya 1jz fse D-4. Engine hiyo haipo sawa, mara kwa mara inanisumbua kwa kutoa moshi mwingi na kuzima zima ghafla. Nimebadili nozzle mkanda mzima, nimebadili sensor zote, enjection n.k bila mafanikio Baadhi ya mafundi wananishauri nichukue engine nyingine...
Back
Top Bottom