Recent content by talk2me

  1. T

    Nyumba inauzwa mil 50 Tabata Mawenzi

    Haina migogoro.
  2. T

    Nyumba inauzwa mil 50 Tabata Mawenzi

    Bado chini sana.....
  3. T

    Nyumba inauzwa mil 50 Tabata Mawenzi

    Hadi kufika hapa imepungua sana. Maongezi yapo wazi
  4. T

    Nyumba inauzwa mil 50 Tabata Mawenzi

    Hadi kufika hapa imepungua sana. Maongezi yapo wazi
  5. T

    Nyumba inauzwa mil 50 Tabata Mawenzi

    M Mil 10 hapana kwakweli.
  6. T

    Nyumba inauzwa mil 50 Tabata Mawenzi

    Hakuna namna inabidi mambo mengine yaendelee.
  7. T

    Nyumba inauzwa mil 50 Tabata Mawenzi

    Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala,sebule,jiko,choo,bafu,stoo,na dinning. Pia nyuma ina nyumba ndogo yenye sebule na vyumba viwili. Bei ni Mil 50. Original Documents zote zipo. Kwa mawasiliano please call 0758251100
  8. T

    Naomba ushauri, mpenzi wangu hana hamu na mimi hata kidogo

    Ni kweli alianza kuni'ignore baada ya mtoto kuzaliwa lakini nikajaribu kumuelewa but this time naona inavuka mipaka nimejaribu kuongea nae kama kuna kitu chochote au kama amepata mtu mwingine anakataa kua hana.
  9. T

    Naomba ushauri, mpenzi wangu hana hamu na mimi hata kidogo

    Habari, Mimi ni kijana wa miaka 32 sasa. Ninae mpenzi wangu wa muda tangu 2009 wakati anasoma A level. Nimekua nae mpaka anahitimu chuo kikuu na Mungu ametujalia mtoto wa kike ana umri wa miezi 18 sasa. Tupo katika mpango wa kufunga ndoa mwaka huu na taratibu za awali zote nilishakamilisha...
  10. T

    Viwanja Dodoma

    Habari wanajamvi,kuna viwanja (havijapimwa bado -shamba) ekari 2 vinauzwa vyote kwa pamoja. Ekari moja inauzwa kwa Tsh 10,000,000. Vipo Nkuhungu karibia na mnadani - mita 200 kutoka barabara ya lami (Dodoma -Singida) Karibuni sana. 0715 251100.
  11. T

    Plot4Sale Plot for sale

    For a serious buyer,Plot yenye sqm 3345 kipo Dodoma Itiga airport road njia ya kuelekea Singida. Bei ni mil 150. Kiwanja kina kila kitu. Call: 0715 251100.
Back
Top Bottom