Habari wakuu,
Kuna mdogo wangu amechukua first degree ya nursing na amepata GPA ya 3.6, akafanya masters ya public health akapata GPA ya 3.8, baadae akafanya PhD katika reproductive health.
Kwa sasa anataka kuomba chuo akafundishe undergraduate nursing. Je kwa qualifications hizo anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.