Kwa wale wenye maziwa meng sawa but binafsi nicpokula vizuuuuuuur mtoto ananyonya had kizunguzungu hvyo nakuuuuuula ili dogo akae poa na ofcoz mi pia nmenenepa bt najua nini nafanya,nkimalza kunyonyesha haaaaaa huwa najirudia kuuuuuleeeeee kwa zamani bla hata hzo cjui gym
Watu8,mtu mzima alodumaa ukimuona unamtambua jaman haka ni katoto kabisaaa maana hata ile sauti kanayoiongea ni ya ktoto bado yaani ningekuwa niliwaza ningekapiga hata picha niwawekee nanyi mnisaidie!! Then sidhani kama hawa mareceptionist wetu huwa wanazingatia umri wa wateja wao na kudaut...
Ohooooo!!! Mkuu ni kitoto kidooogo yaani hata sijui nikuelekezeje?? Yaan hata ule uso ni wa kitoto yaani nina uhakika miaka kumi kle ktoto hakijafika!! Navokwambia niliumia ujue niliumia maana ni kitoto haswaaa
Juzi katika pita pita zangu nikakuta binti anamjibu mama mtu mzima eti anasema na yeye ni mtu mzima ana haki ya kulala guest kama mwanamke yeyote.
Nikasimama kwanza nimwone binti, jamani kalikuwa ni binti mdogo ana miaka kama tisa au nane hivi.
Hapo ikabidi niulize kwani vipi, mweeee kale...
Ndani yangu natamani niyavunje haya mahusiano bila kuwaathiri wanandoa maana hapo muathirika namba moja ni mamdogo aliyemuhurumia binti yake akaona aje amsitiri na maisha japo akae nae,sasa naanza vipi??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.