Recent content by talakasheba

  1. T

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru sana kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari Toyota town ace pickup nimesika kwamba kuna inayotumia petrol nakuna ya diesel pia. ipi nibora naombeni ushauri wenu plz Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wakuu naomba kuuliza kabla sijafanya maamuzi yakununua gari aina ya Toyota town ace pickup kati ya diesel engine na petrol engine ipi itakuwa naubora naombeni ushauri viongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Naomba contact mkuu ili nikutafute
  5. T

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Nahitaji Toyota town ace pickup 4wheel driver ambayo iko vizuri nishingapi mkuu
  6. T

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Toyota town ace ya mwaka 2000 4wheel driver no D niandae shingapi wakuu
Back
Top Bottom