Recent content by tajiri wa baadae

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kimya sana, toeni code kinachoendelea msata
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Bado sijaenda kijana
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vp watu washaanza kuripoti msata
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ajibiwe huyu kijana kauliza swali zuri sana
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kuwa makini ndugu angu, unaweza ukawa kwenye mkumbo wa utapeli. Maana kipind kama iki matapeli awachezi mbali
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Vijana mshashiba pilau jeusi na nyama za mturuki, mmepoa kama pombe za kiangaiko.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Tusiwe wavivu kushika jembe jamani , mambo yenyewe yashakuwa ayaeleweki
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kwahyo watu washaripoti kihangaiko?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mwaka huu orjolo watachukua watu kweli
  10. T

    JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Usichoke kutuma maombi InshaAllah utapata
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Sina maoni kaka. We kama unayo maoni basi ni vyema ukatililika
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Leo bungeni, mbunge aja na hoja kuwa kwanini tangazo la ajira la jwtz limeweka kigezo cha JKT, wakati iko kigezo walikishakiondoa kwenye ajira za vyombo vya ulinzi na usalama.
  13. T

    JamiiForums Tanzania JWTZ YATANGAZA NAFASI YA KUJIANDIKISHA JESHINI 2025.

Back
Top Bottom