Recent content by taiter

  1. taiter

    Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

    Man down call for backup soldier
  2. taiter

    Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

    Hapo kila kitu kimeshaharibika kwenye maisha yenu hata ukimsamehe jua utakuwa umejifunga kwenye kifungo kibaya sana kitaisha ukiwa umekufa tu nasisitiza sana, wachache sana wenye uwezo wa kusamehe ila msamehe kama moyo wako na afya yako ya akili viko sawa tofauti na hapo husimsamehe pia...
  3. taiter

    Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

    Vina muda kwani subiri utatamani siku na masaa yaijurudie Bora ungekuwa kipofu
  4. taiter

    Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

    Sababu kupanga ni kuchagua
  5. taiter

    Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

    Sababu kupanga ni kuchagua
  6. taiter

    Ulishawahi kuila akiwa siku zake?

    Kweli hili ni jukwaa huru kuna mada zingine zinaonyesha uhuru wa mawazo yetu yalivyo, anyway hata hivyo kupanga ni kuchagua.
  7. taiter

    MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

    Sayansi ya akili inasema kiwango cha raha unayotafuta kwa kigezo cha kutafuta furaha huwa ni kidogo tofauti na madhara yanayotokana na furaha uliyopata, sasa twende wakati unajenga kimya kimya ulikuwa na furaha sana ila unaona madhara yalivyokuwa makubwa kwako hata furaha ya nyumba uliyojenga...
  8. taiter

    Maisha yangu ya ndoa ni tofauti na nilivyoyatarajia

    Expectation Vs Reality=Reality Win
  9. taiter

    Nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote niliowaamini na kuwapenda

    Nanukuu maandishi yako yanasomeka "Sina furaha Wala sioni tumaini, sioni umuhimu Tena wa Mimi kuwepo katika ulimwengu huu". Conscious mind+Subconscious mind=Reality, kiufupi aliwazalo mjinga ndo litakalomtokea, acha kuplay victim simama badili mtazamo wako waza mema juu yako.
  10. taiter

    Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani naombeni ushauri

    Expectation Vs Reality= Reality Win
  11. taiter

    Kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, hapo hapo ametoa talaka; hakuna kubembelezana

    Kinachoumiza watu hata sio kitendo cha kuchepuka bali ni FIKRA zao zinazotafsiri tafsiri kitendo hicho yaani tafsiri zinakuwa nyingi ndo ambazo zinaleta maumivu, ukifatilia kwa makini mtu ambaye anafikra nyingi ni rahisi kusamehe ila mwenye fikra nyingi hawezi kusamehe ataishi na maumivu mpaka...
  12. taiter

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Uzuri ukitembea na mke au mme wa mtu unakuwa unajua kitachokutokea ukifumaniwa
  13. taiter

    Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Usihofu Karma is real atalipa kwa yote aliyokufanyia kama sio yeye basi mke wake kama sio mke wake watoto wake mpaka wajukuu wake, ulimwengu wa roho umesikia kilio chako lazima utatenda haki juu yake pamoja familia yake ni suala la muda tu, ila malipo lazima yalipwe cha kufanya jua tatizo ni...
Back
Top Bottom