wana sema mungu kamuumba bina damu kwa mfano wake yeye, wana sema mungu yupo kila sehemu, ulipo yupo, haya ni maneno yanayo patkana katika vitabu vya dini zote ndivyo tulivo fundishwa, katika vitabu hivi havija pamba panua kiundani manneno haya, hii inatokana na kwamba vitabu hivi vimeandikwa...