CCM siyo wajinga. Magari wanajaza mafuta wenyewe na service wanafanya wenyewe. Posho wanakupa wakikuona site. Kuna watu wa kitengo wanafuatilia value for money. Wale vijana wa Mbowe wanajulikana kwa utapeli.
Hivi kwa nini wakatoliki wanaogopwa? Wako wengi?, Wana umoja? Siyo waoga? Hawana maovu? Hawaibii waumini? Wanamiliki majengo/ aridhi kihalali? Kanisa lao limesajiriwa kihalali? Wanamtandao dunia nzima? Au kwa nini?
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
Kitambulisho Kwa sasa watanzania wanachotafuta ni cha utaifa hicho cha kura huwezi hata sajiria line ya simu. Tunataka Tume ieleze hiyo tofauti. Usikute marehemu bibi yangu aliyejiandikisha wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vinghi bado yumo kwenye idadi hii 37m.
Wagomee sensa wanayofuatwa nyumbani wakimbilie kujipanga foleni kujiandikisha kupiga kura? Kwa tofauti kubwa hiyo. Mpumbavu utakuwa wewe unayetetea ujinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.