Recent content by T2015CCM

  1. T2015CCM

    Kasi ya Lugola inadhihirisha udhaifu wa Mwigulu alivyopwaya

    Atakuwa amepwaya na yeye
  2. T2015CCM

    Madiwani 3 Ilala mikononi mwa TAKUKURU

    WA CHADEMA AU CUF HAO MAANA
  3. T2015CCM

    Kasi ya Lugola inadhihirisha udhaifu wa Mwigulu alivyopwaya

    Ndugu zangu wana JF, habari zenu. Hii kasi ya mshkaji wa mambo ya ndani kwa kweli inamaanisha jambo kubwa sana. Inaonyesha wazi na dhahiri kabisa kwamba Mwigulu alipwaya na hakuitendea haki nafasi ya waziri wa mambo ya ndani. Hata mh Rais hakukosea kubadilisha safu yake ya ushambuliaji na...
  4. T2015CCM

    Serikali yatenga mamilioni kujenga ufukwe wa Coco uliopo Dar es Salaam kisasa zaidi

    Imetamkwa mubashara hivi sasa kupitia kwa Waziri Mkuu wa Tanzania akihutubia hadhara ya watanzania waliojitokeza kufanya usafi maeneo ya osterbay na masaki hadi coco beach Jijini DSM kuadhimisha siku ya mashujaa waliopigania Nchi yetu hata kupoteza maisha yao. Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali...
  5. T2015CCM

    Kuelekea uchaguzi 2020, CCM inazidi kuimarika, CHADEMA inakufa,CUF inafutika, ACT inajikongoja

    Utafiti unaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka miwili na ushee tangu CCM iingie madarakani na kuunda serikali, chama hicho kimezidi kuimarika mara dufu zaidi tofauti na ilivyokuwa 2015. Utekelezaji wa ilani unaofanywa na Serikali yake, utatuaji wa kero za wananchi, ukaribu wa chama hicho na...
  6. T2015CCM

    Ushindi wa kishindo

    nawapongeza wote wanauunga mkono utawala wa JPM.
  7. T2015CCM

    Ushindi wa kishindo

    hata mimi natarajia kujiuzulu nafasi zangu zote kuunga mkono juhudi za mh rais
  8. T2015CCM

    Ushindi wa kishindo

    serikali ya awamu ya tano inakubalika mnoooo
  9. T2015CCM

    Rais Magufuli hana nia na wananchi, hataki maoni ya raia, anataka maneno yake yawe katiba na hataki kusikia katiba mpya

    rais Magufuli na serikali yake pendwa ametumbua majipu akiwemo mleta mada hii maana alikuwa anafaidi keki ya taifa kwa wizi na uporaji, amerudisha nidhamu ya utendaji serikalini, ameleta uwajibikaji, anajenga miundombinu ya usafiri na usafirishaji, umeme wa uhakika nk. yaani ukitaka kuandika...
  10. T2015CCM

    Rais Magufuli hana nia na wananchi, hataki maoni ya raia, anataka maneno yake yawe katiba na hataki kusikia katiba mpya

    hii mada ni maalum kwa ajili ya upotoshaji, kupandikiza chuki kwa wananchi na kuwakatisha tamaa ya kazi na uungaji mkono serikali yao pendwa ya awamu ya tano.
  11. T2015CCM

    Kafulila Asipotoshe Umma

    Mleta mada yuko mbioni kuhamia CCM. Ni suala LA muda tu
  12. T2015CCM

    David Kafulila ahojiwa Azam TV kuhusu kuhamia CCM

    Hongera sana kafulila kwa maamuzi makini na ya busara
Back
Top Bottom