Recent content by T.O.D

  1. T

    Ajira wizara ya elimu.

    1.Majengo na vitendea kazi vya kutosha. 2.Lipa waalimu vizuri ili upate waalimu wazuri. 3.Rahisisha au ondoa kabisa gharama za ujifunzaji na ufundishaji. 3.motivate waalimu na wanafunzi wanao fanya vizuri. 4.usimamizi wenye kuzingatia maadili ya kazi na si vinginevyo.
  2. T

    Ajira wizara ya elimu.

    ni vema kama tungewekeza katika elimu kwa kuweka na kusimamia mikakati,mikakati ambayo itatoa elimu bora na si bora elimu.
Back
Top Bottom