Recent content by Syv

  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya vyama vya wafanyakazi hasa TALGWU (chama cha wafanyakazi wa serekali za mitaa) kutengeneza Tshirt mbovu za wanachama wao

    Sijawahi ona umuhimu wa hivi vyama zaidi ya kukata pesa za watumishi at least watoe Tshirt au hizo kangha za ubora wa kueleweka kwa members wake hiyo once per year. Kuliko kuvalisgana midosho
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya vyama vya wafanyakazi hasa TALGWU (chama cha wafanyakazi wa serekali za mitaa) kutengeneza Tshirt mbovu za wanachama wao

    Kila mwaka vyama vya wafanyakazi vinasherekea siku ya wafanyakazi yaani mei mosi na sherehe hizi zinaendana na kutengeneza sure hususan Tshirt au kutoa khanga kwa ajili ya kushona. Jambo la kusikitisha licha ya kuwakata wafanyakazi ambao ni member wa vyama hivyo Kila mwezi kwenye mishahara yao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Uhamisho wa Watumishi wa serekali kupitia mfumo wa e-uhamisho wa ESS

    Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini ukiomba kwenye mfumo unakataa na kuandika "your designation has staff deficit in your organisation"...
Back
Top Bottom