Recent content by systemthinking

  1. S

    Wazo la biashara na makampuni ya simu Tanzania

    Suala ni kupata partners wa biashara na kuwa innovative. Kujiunga jana au juzi haina faida yoyote.
  2. S

    Wazo la biashara na makampuni ya simu Tanzania

    WADAU HABARI, Nina wazo la kibiashara la kutoa huduma fulani kupitia makampuni ya simu nahitaji mbia/business partner mwenye ujuzi wa maswala ya mobile money/ telecommunication business. Nina imani huduma hiyo itapendwa na wateja wataipata kupitia SMS au application. Huduma hiyo itakuwa pre-paid...
Back
Top Bottom