Natafuta Dereva wa kufanya kazi mkoani mwenye leseni Class E na uzoefu wa kuendesha Howo SinoTruck. Umri usizidi miaka 35 years. Tuma maombi yako hasaf203@gmail.com
Kampuni ya Ukandarasi wa Barabara na Majengo ya HASAF COMPANY LIMITED iliyopo Makete Mjini, mkoa wa Njombe.
Inatangaza nafasi ya Fundi sanifu wa barabara (1)
SIFA ZA MUOMBAJI
i. Awe ni Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 50.
ii. Awe amehitimu kidato cha IV au cha VI.
iii. Awe amepitia na...
Habari wandugu Nataka kufungua dry cleaner Mwenye uzoefu wa hizi mambo naomba anipe hata hints kidogo natakiwa mashine ngapi naweza kuzipata wapi na ghalama zipe.. Nataka kufungua maeneo yenye baridi Kali na Vumbi kwa hiyo Vitu vizito vizito ndo mashine nazitaka zenye kumudu hivyo
Sent using...
Natafuta civil technician mwenye ordinary diploma ya civil engineering mwenye uzoefu wa kazi za ujenzi mbalimbali, mshahara ni makubaliano.
Tuma details zako kwa email wskb_87@yahoo.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.