Weekend jamani vitoweo viko vya kutosha.Asanteni sana kwa mnaokuja kuniunga mkono wateja wapya pia mnakaribishwa...hutojuta kwa minofu utakayokutana nayo[emoji3]
Kituo cha mafuta kilichopo junction ya njia inayotoka mabatini polisi na njia inayotoka science kuelekea kwa Mama Salma Kikwete.Nilipomark hapo duka ndiko lilipo.Karibu sana
Ninauza Sato na Sangara wabichi kutoka Ziwa Victoria,kwa yeyote anaehitaji jumla na rejareja .
*Bei ya Jumla Sato 9500/= per Kg na Sangara 7000/= per kg.
*Bei za rejareja Sato 10,000/= na Sangar 7500/= per Kg.
*Kuku wa kienyeji pure pia wanapatikana kwa bei ya shilingi 20,000/=
Huduma hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.