Recent content by Sweya Makungu

  1. S

    Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Ukweli ni kuwa mtu aba haki ya kufanya tafsiri yake. Hata Biblia ilitafsiriwa na watu wengi na bado inauzwa. Na mtandaoni ipo
  2. S

    Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Hi Hicho cha mtandaoni kimetafsiriwa na George Lukindo?????? Kama siye Basi ndelea nacho hicho acha na wengine watoe tafsiri zao. Hata Biblia ilitafsiriwa na watu wengi
  3. S

    Ukimuona mtu amefanikiwa jua kuwa Mungu ameruhusu na shetani ameruhusu* *pengine nawe ulisema "Huu mwaka ni mwaka wa kuforce, lazima watakuita boss"

    UKIMUONA MTU AMEFANIKIWA JUA KUWA MUNGU AMERUHUSU NA SHETANI AMERUHUSU PENGINE NAWE ULISEMA "HUU MWAKA NI MWAKA WA KUFORCE, LAZIMA WATAKUITA BOSS" . LAKINI UMEFORCE SANA UMEAMBULIA NUKSI NA MIKOSI. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, ukimuona mtu amefanikiwa, jua kuwa...
  4. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyu

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  5. S

    Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
Back
Top Bottom