Tumekuwa tukilalama kuhusu changamoto ya ajira na kazi inayo wakabili vijana ambao ni kundi kubwa kuliko yote Tanzania. Imethibitishwa kuwa wastani wa umri wa Kijana kwa sasa Tanzania ni miaka 17.7.
Wengi wamekua wakihoji kama tumetanabaisha maana ya hizi takwimu na jinsi gani kama taifa...
Afya sambamba na uchumi
Changamoto kubwa sana inayotukabiri sisi wa Tanzania pamoja na mataifa mengine yanayoendelea ,ni kwamba tunashindwa kutambua ni jinsi gani afya za wananchi zinaathiri moja kwa moja Uchumi wa Taifa.
Iwapo wananchi watakuwa na afya njema basi hata kasi ya kupanda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.