Recent content by Sweet Dulamu

  1. S

    Hali ya mwendokasi muda huu, kuna mgomo?

    Kuongeza ruti bila kuongeza mabasi ni kututesa tu abiria tunaotumia hii huduma, mfano Mbezi Mwisho asubuhi magari ni machache sana
  2. S

    SUMATRA hiki kinachoendelea kwa wana Dar es salaam mnakiona?

    SUMATRA wanasubiri madhara makubwa yatokee ndio waje na suluhu.
  3. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Halafu hawatuelezi shida ipo wapi, vitu vinaharibika. Tanesco toeni taarifa tatizo lipo wapi umeme unakatika muda mrefu
Back
Top Bottom