Recent content by swebhe

  1. S

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

    Mhongo hayuko peke yake katika hilo deal.
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaimarika na inasonga mbele

    Ni hivi, daftari liboreshwe kila uchaguzi unapojitokeza, kwa mfano sasa hivi uchaguzi wa chalinze ufanyike mara tu baada ya kuboresha daftari siyo tena kutumia lilelile la mwaka 2010. Hapo ndiyo tutaona mpampano halisi na kuondoa kabisa huu ubishani wa nani zaidi baada ya maboresho.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    ACT munapaswa kujuwa kuwa mnasafari ndefu sana mpaka mfike hapo ilipo chadema leo. Labda kama hamji kufanya siasa za ukombozi dhidi ya mfumo huu uliopo sasa,
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Umechanganua vizuri sana nimeipenda hii.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    tuna safari ndefu sana kuufikia ukombozi!:angel:
Back
Top Bottom