Recent content by Swea

  1. S

    Ujio wa Rais wa China, Xi Jinping nchini Tanzania - Machi 2013

    Tatizo mikataba wanayosaini mabwana wakubwa hawa hufanywa siri mno kiasi ni vigumu mwananchi wa kawaida kufahamu ingekuwa ni amri ningeshauri wabunge washirikishwe.
  2. S

    Kwa malaya bila kinga

    Ulichofanya si sahihi mtake msamaha mungu wako kisha ukapime utaalam ulioko sasa waathirika wanaishi zaidi ya robo tatu ya life span ushauri mwingine unaopewa ni wa kijinga.
Back
Top Bottom