Recent content by Swax moja

  1. S

    Tathmini fupi mechi ya JKT TANZANIA vs Young Africans

    Toka niwafahamu mkikutana na timu isiyo na nembo ya gsm mnastruggle sana. Means bila makando kando nyie ni wepesi Kama tissue paper kwenye maji
  2. S

    Mashabiki wa Simba wahoji kuhusu michango ya faini ya CAF kama ililipwa kweli

    Elimu yako ndo shida. Walichanga then zitafidia pengo watakalokatwa
  3. S

    Hii ndo sababu maalumu kuwa kwanini watu wema huwa wanakufa mapema na wabaya wanaishi miaka mingi

    Wote wanakufa uwe mwema au mbaya. Ila akifa mwema inaleta attention kubwa hence kuonekana wema ndo wanakufa. But wabaya nao wanakufa sema akifa mbaya no body care
  4. S

    EMs ni shule bora wazazi tutafute hela! hebu cheki feza boys watoto 62 wa kiume wote wana wani

    Kupata one ndo kuwa Bora? Mimi naona kumuandaa mtoto kukabiliana na mazingira yanayomzunguka ndo Cha muhimu
  5. S

    Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Unashukuru Nini Sasa? Kwan wanasafirisha bure? Unaleta stories za ujamaa Kati Kati ya ubepari
  6. S

    Faida za bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere ni zipi ikiwa Bado wananchi tunauziwa unit kwa bei ileile?

    Nchi hii inaongozwa na wajinga sana. Hata Mimi nilitegemea umeme ushuke Bei. Cha ajabu wapo tayari uzalishaji wa umeme ikizid waache upotee kuliko kupunguza Bei. Sema na wananchi ndo hao wanajua Simba na yanga tu. Pumbavu kweli Kila anayeishi tanzania
  7. S

    Wenyeji wa Dar msaada wenu

    Panda mwendokasi za kivukoni. Shukia kituo Cha jiji
  8. S

    Kwa Wazazi: Utapeli wa English Medium upo katika maeneo yafuatayo

    Mimi English medium nilimpeleka mtoto ili awe salama tu kwa sababu care kuleipo afadhali na walimu wanawajibika Kama atapata tatizo. Lakini kwa upande wa elimu ni uongo. Mwaka huu nampelekakayumba then hela niliyokuwa nalipa kule nitakuwa namnunulia assets Kama mashamba. Maana naona watoto wa...
  9. S

    English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

    English medium ni kwa usalama wa mtoto tu. Mm najiuliza mbona watoto wa kiarabu hawasomi lakin wanaendesha ndinga Kali? Mwaka huu nimeamua kumtoa mtoto huko na kumpeleka kayumba. Then hela niliyokuwa nalipa kule nitakuwa namuwekea kwenye account then at the end nije nione which is better.
Back
Top Bottom