Recent content by swaumu mohamedi

  1. swaumu mohamedi

    Daraja lasombwa na maji Kata ya Kibo mtaa wa Gide wilayani Ubungo

    Mfululizo wa mvua zinazoendelea baadhi ya maeneo jiji la Dar es salaam, zimesababisha uvunjifu wa daraja lilipo kata ya Kibo mtaa wa Gide wilaya ya Ubungo. Uharibifu huo, umekuwa tishio kwa maisha ya wananchi wanaoishi maeneo hayo na maeneo jirani kuhofia kupoteza maisha yao kwa sababu daraja...
  2. swaumu mohamedi

    SoC04 Ukuaji wa tasnia ya habari kwa kutegemea nguvu ya akili bandia

    Akili bandia ni nini? Huu ni mchoro wa ujasusi au roboti ambayo inajaribu kuiga kazi za binadamu zenye ubongo kwa kutumia aligorithms data iliyojifunza, kutokana na ukuaji wa technolojia akili bandia inaweza kutumika katika programu za kumpyuta ambazo zinaweza kufanya maamuzi ya kibinadamu au...
  3. swaumu mohamedi

    SoC04 Mazingira katika nyanja ya mito na udhibiti wa nishati zisizofaa kwa kupikia kama mkaa na kuni

    MAZINGIRA Tanzania yetu, Fahari yetu, mazingira yetu daima tutayatunza, Tanzania ndo nchi pekee yenye mazingira ya kuvutia na yenye nuru na mwangaza, hivyo basi ni jukumu la kila mwananchi kuweza kuyalinda na kuyatunza mazingira hayo, mito ni moja ya rasilimali yenye umuhimu zaidi tunapotunza...
Back
Top Bottom