Nikweli sijaeleza sababu product ipo ndani ya business plan..tunajaribu kutunza taarifa za DAGHT kabla hatujaingia sokoni..kama upo intellested tutakutana ku discuss product kabla ya kitu chochote kuweka
👉 FURSA YA UWEKEZAJI
●Tunatafuta Mwekezaji/Mshirika wa TZS 3,000,000 Kuingiza Sokoni Platform ya AI (DAGHT DIGITAL MARKET)
👉Heshima kwenu wajumbe na wadau wa biashara na teknolojia hapa JamiiForums.
👉Ulimwengu wa biashara unabadilika kwa kasi sana, na matumizi ya Artificial Intelligence (AI)...
Naomba kukujibu maswali yako yote manne.....
👉AI ipo ni mfumo wa mauzo pia (siri) ukiwa Investor utaelekezwa kila kitu na kinafanyaje kazi
👉Wallet tumeipata ambayo ipo gateway mteja halipi moja kwa moja kwa mfanyabiashara inabaki kwenye DAGHT WALLET
👉Mifumo ipo 3 yaani DAGHT...
DAGHT BUSINESS, DAGHT CUSTOMER & DAGHT DRIVER
Waanzilishi ni wawili.
Heshima kwenu wajumbe na wadau wa biashara na teknolojia wa JamiiForums.
Ulimwengu wa biashara unaendelea kubadilika kwa kasi, huku matumizi ya Artificial Intelligence (AI) katika e-commerce na marketplaces yakizidi kukua...
DAGHT NI YA WATANZANIA. TUNAHITAJI MSAADA WENU ILI TUANZE.
Habari wana-DAGHT na Watanzania wenzetu.
Kuna vijana Watanzania wameamua kujaribu kitu ambacho si rahisi — kujenga mfumo wa kidigitali wa Kitanzania unaolenga kurahisisha namna watu wanavyopata bidhaa na huduma, kufanya malipo kwa...
Mkuu mimi tayari nimeshatengeneza app bado latra na usajili mdogo,kama unaweza kuinvest au kusupport tunaweza kuongea ili kuona app na mikakati madhubuti tuliyonayo kama unaweza tunaweza wasiliana..0624083198..whatsap & Normal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.