Umejuaje kama nacopy mkuu?
Hapana bali naandika mwenyewe na kutafsiri mwenyewe neno kwa neno kwa kiswahili cha kawaida...
Situmii Google Translator au kama ni hivyo basi subtitles za kiswahili zingekuwa zimejaa kila sehemu na kila mtu angekuwa anafanya hata ww..
Kuandika mistari 3000 ya...
Mkuu Mlatino Zeshalo.
ni kweli usemacho lakini kuna tofauti kubwa kati ya kuelewa kwa matendo na kuelewa kila neno na kinachoendelea kwenye movie.
Jaribu kuchukua movie yoyote unayoona umeielewa vizuri bila kutambua lugha husika alafu uweke subtitles za kiswahili, ni lazima uone na kujua mambo...
Kwema wakuu!
Faida ya kuangalia Movie au Series ni kuelewa kiundani neno kwa neno na Story nzima. Kwa wale wapenda Movies na Series kutoka nje ya nchi ambazo hawatumii Kiswahili kama lugha mama, wanaelewa ugumu wa kushindwa kuelewa kinachoendelea kwenye Movie au Series husika sababu tu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.