Safi sana,lakini Wizara ya Ardhi naomba mtoe msisitizo kwa wenyeviti wa mabaraza ya ardhi kusimamia kesi kwa muda ,mimi nina kesi baraza la ardhi wilaya ya geita mjini,huu ni mwaka wa 4.
Na tokea mwaka jana mwezi wa 8 hadi mwaka huu mwezi wa sita tarehe 11 hatujawahi sikilizwa,ina tia hudhuni...
Habari za leo wapendwa, baada ya kujuzwa faida ya mmea wa azola ulivyo na ufanisi na mkombozi kwa wafugaji, niliingia shambani kwa ajili ya kilimo na sasa mavuno yako tayari.
Kwa yeyote anayehitaji mbeguza azola kuanzia kilo moja hadi gunia kadhaa nomba anitafute kwa simu Namba 0624924930.pia...
Wakuu kwema?
Naomba mchango wenu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studiesambayo inatolewa na chuo cha Tanzania institute of accountancy.
Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma, sasa mwaka huu napanga kwenda kujiendeleza kielimu, sasa kuna hii kozi je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.