Recent content by Susuviri

 1. Susuviri

  Kabla Rais Magufuli hajazama jumla, ajiulize kwanza kwanini Kagame na Kikwete walikuwa na mgogoro?

  Wazazi wetu? Mkuu unaongea nini? Hapa tunamkosoa Mkuu wa nchi. Kama hataki aache Urais. Hakuna kiongozi asiyekosolewa. Ukiona ukosoaji umezidi basi ujue kweli unapotea na si kuanza kulalama eti usikosolewe. Rais Magufuli awe humble na asikilize ushauri na maoni kama kiongozi mzuri. Kama hataki...
 2. Susuviri

  Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

  Martin Luther King Jr hakuwa mwanasiasa bali Mchungaji na alileta mabadiliko ya kihistoria Marekani. Yeye pia alionekana National Security Threat kwa serikali ya kibaguzi ya wakati huo leo ni shujaa mpaka ana siku yake maalum.
 3. Susuviri

  RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

  Tunaomba mtuwekee cctv footage ya tukio. Hapo inabidi huyo Makonda akamatwe na aeleze hiyo private militia yake yenye SMG ni akina nani na je wana permit gani? Tuache kucheka au kutetea mambo kama haya!
 4. Susuviri

  Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

  Bila kujua hapo umetoa nyenzo kubwa. Good thinking
 5. Susuviri

  Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

  Tupo ambao hatuna team na tutafurahi sana kuona Bashite anapigwa chini. Kwa haraka kati ya wakazi wa Dar es Salaam ni kama 80% hawamtaki 10% ni wapambe na wanufaika na 10% hawana opinion
 6. Susuviri

  Kama tulimpigania Maxence Melo akawa huru sasa tupambane kwa nguvu zetu Paul Makonda ang'olewe

  Itumike akili kuliko nguvu .. kelele ziende sambamba na action .. hatua ya kwanza nzuri ni ile tuliyosikia ya kumfungulia kesi mahakamani. Hata Mahakama ikitupilia mbali lakini kwa muda huo tunapiga kelele tuuu. Suala la Bashite si kuhusu yeye personally ila ni kuhusu: 1. Integrity ya taasisi...
 7. Susuviri

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

  Tupo pamoja mkuu! Wengi tunamwunga mkono Rais Magufuli lakini katika hili hapana!
 8. Susuviri

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

  Na ndiyo point muhimu - tusiruhusu team Makonda kuleta hoja zingine. Hapa hakuna team nini wala lile. Katumia FORGERY kupata vyeo na kazi achukuliwe hatua za kisheria. Mambo mengine ni blahblah. Huo uzinduzi mbona kavizia vile na hajiamini. Ka kilomita kamoja, msafara umepwaya na media...
 9. Susuviri

  TANZIA: Sir. George Kahama afariki dunia

  Hapana alipewa na Vatican. Hebu rudi ufanye utafiti!
 10. Susuviri

  Sophia Simba ataendelea kuwa mbunge kupitia mahakama. Ya Bashe na vitisho vya kuhoji

  Mkuu kwa sisi tusiokuwa na a stake in the party tunashangaa kwa nini wenye vyama vyao nje ya CCM wanaongea kwa jazba. Hili suala ni la CCM tena vikao vyao vya ndani. Ni kweli ina affect sisi sote maana ndo imeshika hatamu lakini kwa upande wa upinzani wajikite kutuletea sura mpya na za kuaminika...
 11. Susuviri

  Anaandika mtoto wa mwisho wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mamie Akh

  Mkuu kwani umesahau kaka yake Amani alikuwa rais pia katika hii miaka 20? (Siyo baba) Je Amani alilipa bili?
 12. Susuviri

  Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

  Kamishna Sianga keshakabidhiwa vita hivi na tuna imani naye. Makonda hana kazi tena ktk vita hivi mkuu labda kujipendekeza tu! Atafute kiki kwingine na aanze kwa kuweka vyeti.
 13. Susuviri

  Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

  Acha kudanganya umma mbona Kamishna Sianga yupo? Waachie professionals wafanye lao! Huyo Paulo sijui Daudi alikuwa anaharibu ushahidi tu!
Top