Kero kero kero jamani,serekali, hawa watu wanaoitwa (MAJEMBE) je ni mahakama wameshindwa kazi wakawapa ruhusa au wamesomea wapi huwatesa wananchi,tunahamu ya kujua hiyo ni degree ya aina gani wamechukua.kweli tunaomba serekali ipige marufuku kabisa hawa wat,wawaachie mahakama wafanye hizo kazi...