Recent content by Sura ya Chuma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM watoe taarifa tena kwa spika,hotuba ya Sugu ipo mitaani tayari

    Mkuu naitamani na nmevutiwa nayo ila cjaipata nzima coz walkatisha hyo ki2 ya watz,i2pie hapa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Tatu Udom hakuna boom

    Ulizani UDOM ni kijijini kwa bibi yako,.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge kukamatwa na kuwekwa rumande wanafedhehesha na kudhalilisha nafasi ya ubunge

    Unakosa nini ukitetea wanyonge wa kitanzania? Unafaidika nn kutetea wanyang'anyi na wala rushwa? Unalpwa sh ngapi kuwatetea wauza bangi na ndovu we2? Tanzania nakupenda nchi yangu,ntacmama kulinda haki za wanyonge na raslmal zako,ubarikiwe Tanzania.
Back
Top Bottom