Mahakama sio huru. Atawashinda kwasababu ya vigezo vya kumpeleka huko havipo. Polisi hawana sababu bali kumtisha. Mkulu alisema siasa zikafanyike majimboni kwa wabunge, kwani yeye alikuwa wapi? Mtasumbuka sana labda mpeleke bungeni muswada wa kufuta vyama nchi ibaki inaongozwa bila chama au...
Siasa za kistaarabu ni kama za mkulu za kutumia ubabe? Hata hivyo watu watavumilia maana mkulu hakuwahi hata kuwa kiongozi yeyote kisiasa hata shina. Viongozi huandaliwa bali wanyapara huzaliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.