Karibu sana mama Anna Tibaijuka! Nami kama Mwanakijiji alivyouliza, niongezee tu kwamba kama Wizara, mmemchukulia hatua gani Mkurugenzi wa NHC kwa uzembe uliotokea hadi maafa yanatokea katika jengo lile wakati yeye ni Strategic Joint Venture Partner. Mengi yaliongelewa kuhusiana na NHC kuhusika...
Mzee unaelewa historia ya NHC na sheria iliyoianzisha au umesoma mitiriko wa posts wa hii thread, au ndo umekuja kwa lengo moja tu la kukumbatia? Sheria ya NHC iliyokuwa kikwazo ilifanyiwa mabadiliko na ile sheria ya kodi, Rent Restriction act ya 1984 nayo ilifutwa, hence shirika likawa katika...
Ndio maana mkuu wa kaya hutumia lugha ya taifa hata kwenye African Union, tatizo la boss wako ni mbwembwe nyingi na sifa alizopewa na media ati the best CEO ever, with that ----, dah! Kaabisha sana, kwa nini asingetumia lugha ya taifa? Baada ya kuwapeleka maswahiba zake ESAMI, si angepiga hata...
Weighing the two in terms of the subject matter on board! Tunaongelea kuanguka kwa jengo na kuua watu, unaongelea kuvujisha siri za chama! Ukishirikisha ubongo wako vizuri bila kukurupuka unaweza ukaelewa hoja yangu, try to chew before you swallow! Kuua ni kuua hata angekuwa mtu mmoja, nini 36...
Nitakubali vipi au nitakataa vipi wakait sijui unachokiongelea? Your blinkered brainpower makes you understand kwamba kila mtu ni mfuatiliaji wa siasa za vyama! Funguka na leta hoja inayoelewka ili tuijadili! Fur your information, me I am not a partisan, but kuvujisha siri za vyama nje na kuua...
Ngoma inayovuma sana lazima ipasuke! Huyu CEO alipewa sifa sana hasizostahili! Na kitu alichotumia ni kukamata media hasa magazeti, wote wakawa wanampamba! Nasisitiza bado sijaona kitu tangible alichofanya pale NHC! Mabadiliko ya sheria ya NHC na kufutwa kwa Rent Restriction Act ya 1984 ndio...
Wengi baada ya kuona wanapwaya, eti ndio wamekimbilia ESAMI kufanya MBA!!! Haijalishi hata wangefanya PHD, the basics in the subject matter matters a lot!
Nilifikiri kumtetea kwote Boss wako una data za kutosha mkuu kumbe uko empty? Au ndio uchanga shirikani, bado unawaza DEBITS and CREDITS? Nyumba za NHC Boko na Mbweni amejenga NKM? Jengo la biashara pale Mwananyamala, Biashara Complex amejenga NKM? JV zote ambazo zimekuwepo na miradi kibao ya...
Ni jinsi mchakato ulivyoenda! Bila shaka unapata tabu kwa sababu labda E&Y ni international company na kwamba madudu hayatokei!
Tangazo lilivyokuwa limetoka awali, Luhanjo hakuwa nchini, na sifa zilizotolewa NKM hakuwa nazo ikiwa ni Masters degree, uzoefu katika mashirika ya umma, na experience...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.