Recent content by Suplier

  1. S

    Msaada;hv Masomo Ya 'A'-LEVEL, Inawezekana kusoma mwaka mmoja na ufaulu ukawa mzuri?

    asante munguuuu thanxxx dah... Darius kamugisha umenitoa matongotongo nlikuwa nahofia had nlikuwa nibadilishe comb
  2. S

    Msaada;hv Masomo Ya 'A'-LEVEL, Inawezekana kusoma mwaka mmoja na ufaulu ukawa mzuri?

    wakuu kama mtu unapiga HGE eti ukipata f ya bam unapigwa penalty? Msaada wenu wakuu
  3. S

    Peter Serugamba: Jina halikuonyeshi we ni kabila gani

    mkuu na like kubwaaaaa Fukara kwa quote yako
  4. S

    Je, unajua Kila unapofungua website au blog unaacha fingerprints? Ina madhara hivyo jifunnze kujiham

    MziziMkavu unataka kusema fingerprints zinaachwa kama umesign in kwa email? Au
  5. S

    HAHAHA.,...wanafunzi watoro wafuatwa kwa bodaboda ya mwalimu

    dah leo ilikuwa ni msala nimecheka mwalimu aliongozana na skauti wa shule ilikuwa ucpme
  6. S

    HAHAHA.,...wanafunzi watoro wafuatwa kwa bodaboda ya mwalimu

    Katika hali ya kufurahisha na kuchekesha pia wanafunzi watoro wafuatwa kwa bodaboda ya mwalimu mmoja baada ya mwingine na kucharazwa viboko walipofikishwa shuleni hawa ndio aina ya waalimu tunaowata wenye moyo na uchungu kwa kazi yao au mnasemaje wadau?
  7. S

    Kwa anayejua jinsi wanavyochagua

    ngoja nikupe ujanja kwanza angalia matokeo ya last year acsee ya hyo shule alaf ukiona kuna matokeo ya watu walosoma comb ambayo unaitaka ukiona nenda alafu ukabadilishe comb nenda a.level acha ujinga wewe
  8. S

    Vitabu gani ni vizuri vya pure math

    major events na mastering one ndo vipo current
  9. S

    Kigonsera sec school

    Jamani kwa aliyepata joining instruction anitumie email kupitia acyangu@gmail.com msaada jamani kwa wale walopata jamani
  10. S

    Kigonsera sec school

    kwa aliyepata joining instruction anitumie email kupitia acyangu@gmail.com msaada jamani kwa wale walopata jamani
  11. S

    Wanafunzi wa form v 2013 wanapigiwa simuuu

    je kuna ambao tayar wameshapata joining instruction?
  12. S

    Wanafunzi wa form v 2013 wanapigiwa simuuu

    Nimeipata kutoka kwa mwanafunz anayetarajia kujiunga na kidato cha tano kuwa wanapigiwa simu kutoka shule walikopangwa na kuwataarifu waanze kuripoti shule kuanzia tarehe 22/07 na siotarehe 29 wanatumia namba walizoandika kwenye SEL FORM je taarifa hizi zina ukweli ndani yake?
  13. S

    Wadau wa Makiba High school

    nadhan info ztakuwa zmekuxaidia
Back
Top Bottom