Recent content by Superoneoone

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kwa mtoto aliyefeli form two

    Kuna option nyingi. Anaweza kusomea ufundi, au ku rudhia form 2. Kurudhia form 2 anaweza akasomea pale shuleni wewe kama mzazi ukiandika barua ya kumombea hiyo nafasi kwa commissioner. Pia anaweza kurudhia mithiani kwa njia ya QT (qualifying test). QT inapatikana katika vituo maluum Sent from...
  2. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Umefanyikiwa? Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom