Mheshimiwa Rais popote ulipo, na mheshimiwa Awesso, ni miezi mitatu sasa hatujui maji wakazi wa Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima tunaomba msaada wenu viongozi wetu hali ni mbaya sana.
Tuna miezi mitatu hatuna maji
Eneo ni kajima (Rivaside juu) mtaa wa Kibangu Ubungo
Eneo hili ni kubwa kuanzia...
Tuna miezi mitatu hatuna maji
Eneo ni kajima (Rivaside juu) mtaa wa Kibangu Ubungo
Maji hayatoki lakini watu wanauza maji na kuleta na magari na kuyauza kwa ndoo 500
Tumelalamika tumechoka inaonekana kuna mfumo wa watu kula hela na kujineemesha
Kipindi cha Magufuli maji yalikua yakitoka
Sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.