Hallow wana jf... Nmerud tena niko nauza nafaka zote yaan mchele, unga, maharage, mafuta ya alizeti na vingne vngi vyote vinapatikanika kwa bei ya jumla na rejareja. ..... Tena kwa bei nafuu kabisa
Siasa siyo hivyo ufikirio wa jiran cha msingi tafakar and then angalia nn maana ya rasimu.... Halafu angalia nchi na wanasiasa..... Na pia ishi kwa mifano iliyotokea juu ya undwaji wa katiba zao na muundo wa serikali zao na matokeo yake ni nn..... Mfano russia, somalia,
Pls chasha ungeweka na bei ingekuwa Pouwah sana kwa sababu mtu anaweza toka mbali kuja. Huko ulipo halafu kumbe kaja na hela kidogo nje ya kiwango chako so ungerahicsha kwa kututajia baadhi ya gharama ....
Napenda tena kuwataarifu wa jf kuwa me ninauza mchele kwa bei ya jumla na rejareja na pia napokea order kwa mazao mbalimbali ndan na nje ya nchi popote ulipo kwa mawasiliano unaweza nitafuta kwa email masilikale@gmail.com
Mimi mjasiliamali na zaid nimewekeza katika kilimo cha mpunga na chai... Kwahyo natafuta soko la mchele pia napokea oda tofauti za mazao.... kwa jumla na rejareja....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.