Recent content by Super Msouth

  1. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa malipoa wa serikalini uboreshwe

    Habari wanajamvi! Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa dokezo. Maombi yote huenda sambamba na vielelezo (viambata) vinavyohalalisha uwepo wa maombi hayo...
  2. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ayapaisha Mapato ya Korosho mara nne zaidi kufikia Trilioni 1.6 kutoka Billioni 452.5

    Hivi auoni aibu kusema uongo? Amepandishaje unaweza kufafanua? Tunaolima korosho tunafahamu namna bei zilivyo, bila shaka utakua na unfmdugu na shetani
  3. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinafikirisha

    Nawasalimu wanabodi. Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza. Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu...
  4. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura

    Na kukuweka sawa korosho haikuuzwa 4,100 kama ilivyotangazwa minada yote ya kwanza korosho ilinunuliwa kati ya 2,750 hadi 3,120 kwa kilo na bei ziliporomoka kadri minada ilivyokua inaendelea
  5. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura

    Bei ya mnada wa kwanza ambayo walouza korosho haifiki 7% ya korosho zilizouzwa 2024, nipo huku korosho zao langu kuu
  6. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura

    2015/16 bei 2,000Tsh-2,500Tsh 2016/17 bei 2,500Tsh - 3,000Tsh 2017/18 bei 3,000Tsh - 4,000Tsh Una lingine
  7. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura

    Acha usumbufu kama ni mfuatiliaji auwezi kuniuliza hilo mimi na wakulima wenzangu tunayajua haya na bei ya soko la dunia iko wazi ni kutafuta tu mtandaoni
  8. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura

    Nawasalimu ndugu zangu. Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu ambao wenyewe utakua unafanyika kwa awamu ya saba (7) tangu chaguzi za vyama vingi zilipoanza. Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura, machache yafuatayo ni...
  9. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo

    Hii shida sijui itaisha lini wilaya za Mtwara zote zina shida ya umeme na sasa hali ni mbaya zaidi kukaa zaidi ya saa 24 bila umeme imekua kawaida, mfano jana umeme umekatwa saa saa 12 jioni wakawasha usiku wa manane hadi saa 12 asubuhi, wamekuja kuwasha tena saa 11 leo tena dakika 5 hazijafika...
  10. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

    Natabiri anguko la CCM km itabaki kama ilivyo sasa
  11. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania Shida ya Umeme wanaohusika wajiuzuru

    Nipo Newala Mjini wiki ya pili sasa hali ya umeme ni mbaya kupita kiasi. Tangu nimefika na sasa shida imezidi wiki iliyopita umeme ulikua unawaka kati ya masaa 4-6 kwa siku. Wiki hii Jumatatu umeme uliwaka masaa 6 kwa siku, Jumanne masaa 3 kwa siku, Jumatano umeme uliwaka chini ya saa 1 kwa...
  12. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Hivi huwa mnawaza watoto wote wanaofanya vizuri kwenda baadhi ya shule wenye ufaulu wa wastani wanabaki, form matokeo yao yatakuwaje
  13. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Hapa unataka kusema nini
Back
Top Bottom