Recent content by Super H

  1. Super H

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Tutafute mafuta yetu ,wakati hapa tuna gas Bei ya umeme ipo juu Sasa hata tukiyapata mafuta hatutapata unafuu wowote
  2. Super H

    JamiiForums Tanzania Wafuga kuku tukitane hapa

    Nilifanikiwa kuwauza ,labda unipe ushauri wa Nini Cha kufanya next time
  3. Super H

    JamiiForums Tanzania Wafuga kuku tukitane hapa

    Manyoya kusimama na kuacha kula
  4. Super H

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Hapa kiluvya gogoni kiwanja kinauzwa sqm 750 Bei ml 14 Bei inaweza kupungua
  5. Super H

    JamiiForums Tanzania Kutapeliwa kiwanja

    Kwani sheria za aridhi zinasemaje ?
  6. Super H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Kalele kwa Raju pale fire hq Bei rahisi tu
  7. Super H

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu

    Kutibu hili tatizo jeshi la police liache kuwa sehemu ya chama tawala alafu lifumuliwe na kuundwa upya
  8. Super H

    JamiiForums Tanzania Wafuga kuku tukitane hapa

    Kuku wangu wamekufa wengi Sana wanajisaidia choo Kama chokaa hivi , tatizo nini na tiba Nini ?
  9. Super H

    JamiiForums Tanzania TANROADS njooni muone aibu

    Hapa kwetu katiba tu imetushinda kubadilisha tumewaachia inzi was kijani ndio wanaamua kila kitu
  10. Super H

    JamiiForums Tanzania Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

    Nimeona wemezungushia mabati huenda Kuna Jambo linakuja
  11. Super H

    JamiiForums Tanzania Fuga Ubungo wamenitapeli pesa ya vifaranga

    Nimepanga kwenda kwa msisi Tanga nipeni connection
  12. Super H

    JamiiForums Tanzania Fuga Ubungo wamenitapeli pesa ya vifaranga

    Mkuu nishapambana Sana na katika kupambana huko alirudisha pesa kiasi , Bado nadai nyingi Kama 1.8m rist ninazo zote maana nililipia bank .
  13. Super H

    JamiiForums Tanzania Fuga Ubungo wamenitapeli pesa ya vifaranga

    Wakuu salaam Sana,Kuna jamaa Wana ofisi nzuri tu pale ubungo daraja opp na njia ya kwenda chuo kikuu Cha dsm na mmoja wao anaitwa Joshua . Niliwalipa pesa vifaranga hawakunipa toka mwezi wa tisa mwaka jana hadi leo na Sasa ofisi wamefunga simu hawapokei. Nimechanyikiwa Sana maana ndio mtaji...
  14. Super H

    JamiiForums Tanzania Picha: Majogoo Bei 15,000 . kiluvya dsm

    Namshangaa Sana ,mleta mada hajakosea chochote ,amekidhi vigezo vyote vya tangazo lake jamaa from no we're fokofokoooo tukisema unaingiliwa tutakuwa tumekosea Nini ?shwetani wahed kabisa
  15. Super H

    JamiiForums Tanzania Picha: Majogoo Bei 15,000 . kiluvya dsm

    Mbona unawashwa hivyo na post ya mwenzako ,huna unachouza ,huna unachoweza kununua unawashwa washwa tuuu kubwa jinga kabisa
Back
Top Bottom