Kitabu cha kwanza ni INTERNATIONAL MEAT CRISIS. Cha pili ni THE VATICAN AGAINST EUROPE. Cha tatu ni THE BLACK POPE. Cha nne ni THE SECRET TERRORISTS na cha tano ni KING JAMES BIBLE VERSION, SIYO NEW VERSION.
MADHARA YA NYAMA DUNIANI Nyama unayokula huchafua/haribu na kudhuru kwa kiwango cha juu ambacho hakikufahamika katika historia ya mwanadamu. Katika mwaka 1906, Upton Sinclair aliandika: Hii si hadithi ya uongo/danganya toto au jambo la mzaha, nyama inayopakuliwa/tengwa kwa ajili ya chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.