Kama mfuatiliaji mzuri wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania utaungana nami kuwa baadhi ya wabunge wamesahau majukumu yao na kulifanya bunge kama kijiwe cha mabarobaro amboa kwao lugha za( umebugi men,baridaa,mizinguo,kumpa makavu,tutazinguana...na n.k) ni za kawaida na ndio huona...
Nimejaribu kupitia hoja za bwana JF, pamoja na kuangalia maelezo ya bwana Mohammed Said,pia nimekisoma kitabu cha bwana Mohamed Said,(MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES 1924-1968) nilichokiona mimi,nimeona hoja za msingi ambazo bwana Mohamed Said amesimamia na katika hiki kitabu chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.