Recent content by sumuyu2000

  1. sumuyu2000

    Maalim's dossier vis a vis ZEC's official results.

    Eti wanasema hawayatambui matokeo na uchaguzi urudiwe Zanzibar... Walishasahau miaka ile... wacha mje Kwenye baraza la.wawakilishi mfanye mgomo... Tukutanr barazani... Tume fanyeni.wajibu wenu haraka mda unazidi kuyoyoma na Njama za hujuma zinazidi kuandaliwa.na wafamaji...
  2. sumuyu2000

    CCM Kisonge Zanzibar wanyosheana vidole

    Tumewachoka waache wakae pembeni... waache waonje.utamu wa kushinda na wao...
  3. sumuyu2000

    GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Jimbo la Kijana Mwalimu ni ngome nzito ya CCM...
  4. sumuyu2000

    Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

    CDM walikosea mahesabu wakati mbaya sana, hawakuliangalia hili, hawakuangalia uzito wa Zitto katika kipindi kile na kwamba uchaguzi unafata mbeleni... sasa athari zake ndo hizi na wataendelea kumlaumu ilhali lawama.wanapaswa wajilaumu CDM wenyewe... Tunapaswa kupiga hesabu za hapa na...
Back
Top Bottom