Lowasa ndiye mtu aliyeimbwa sana kuwa ni Fisadi ndani ya nchi hii. Alishambuliwa Sana,, akadhalilishwa, akaonewa Sana kutokana na hila za kisiasa, mpaka ikafika sehemu watu wakasema ile mahakama hewa ya mafisadi imeanzishwa kwa ajili yake. Lakini cha ajabu hizi report zote zilizosomwa tangu...