hapo lazima kuwe na tatizo baina yako na huyo rafiki wa mume wako...mara nyingi wanawake wa siku hizi huwa mnamtindo wa kuwachagulia rafiki waume zenu, mara utasikia mimi yule rafki yako simpendi, mara sitaki rafki yule aje nyumbani..mara ooh mara vile,,,kwahiyo kwa mantiki hiyo inawezekana hapo...
@ TONGONI- Safi sana, dah tukiwa na watu kama nyinyi katika jamii mnahusika mno, yani unaona kabisa mtu yuko serios sio wengine kila kitu wanaleta mzaha hahahahhahah
Mswati mtafute Advocate yoyote akuandikie barua unaenda nayo pale ocean road nyuma kuna ofisi za mkemia mkuu anakupa account namba unaenda kulipia NBC kila sample in Tsh 100,000/= kwahiyo kama watoto wawili na wewe ni laki tatu then unakuja na risiti wanakupima unasubiri majibu kama mwezi hv
dah kwakweli ushauri mzuri ni akatoe tu hiyo mimba then aanze kujipanga tena maana nahisi majanga hapo....uwezi sema mwanaume wa kwanza ndio mimba yake,,,kuna factor nyingi zinatakiwa ziangaliwe kwa case yake yani piga ua aaply miscarriage tu hapo
kaka wewe kweli mwisho duh....ulizia watu wakujuze ofisi za mkemia mkuu ziko wapi? ziko pale hospital ya ocean road na taratibu ni lazma uende na uthibitisho wowote tu kama mimi nilichukua barua ya advocate nikaenda lipia pesa kwa kila sample ni laki moja....sasa inanisaidia nini kudanganya hapa...
nilimpeleka Ocean Road Hospital kitengo cha DNA, na majibu yalitolewa na mkemia mkuu, utaratibu ni kuingiza kifaa kwenye mdomo na kutoa kama uchafu uchafu wa ndani pembeni ya fizi mwisho na ikakaa kama mwezi kupata majibu. @ Kabindi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.