Recent content by sumbere

  1. sumbere

    JamiiForums Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

    Unazungumzia umaskini wa mali au wa fikra Mkuuu?? Hizo ni fikra za kimaskini nivile huna hela
  2. sumbere

    JamiiForums Nywele nyeupe sehem za siri, kwapani

    Kuna maneno mawili umetumia, sehemu za siri na kwapani, kwa kwapani ni kawaida ila huko sehemu za siri duh kipengele
  3. sumbere

    JamiiForums Vijana msioe muinjoi maisha huku Ndoani kuna vimambo mambo vya Ajabu sana

    Pole bro!!!! Mwanamke anahitaji furaha mda wote,, unatoka asbhi unarudi usiku, ukute mchna hta kutenga mda wa kumpigia simu kumjulia hali, na kumpa maneno mazuri huna huo mda,.. Brother lazima akununie tyu, tenga mda kwa ajili ya mpenzi wako kumutftia mwanamke mwingne nje, kwa ajili ya kukidhi...
  4. sumbere

    JamiiForums Hatukufungwa, ila tumekubali kuwa tumenyimwa kombe

    Wakati mnaingia kwenye mashindano hamkulijua hilo??? Faida na athari zake??
  5. sumbere

    JamiiForums Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Hio tunaita both team to score (GG)
Back
Top Bottom