Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu.
Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
Ni wapuuzi sana. China ili uwe mwanachama wa Chinese Communist party (CCP) ni lazima ukane dini zote. Kwa sababu wanajua dini ni vipumbazo na visingikiti kwenye maendeleo
Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
Hata Mungu anasema kabla ya kuwaadhibu lazima awatumie mtume kwa ajili ya kuwabainishia neno lake na kuwaonya. Hapa tunabainisha uhuni wake. Wakati sahihi ukifika atashughulikiwa. Kazi ya kubainisha uhuni wake inaendelea.
Legacy ya Mbowe imeingia doa pale alipokubali kununulika. Wanachama wakaamua ili kuilinda legacy yake wakampumzisha. Bahati mbaya hajaelewa, bado anaendelea na mradi wake na CCM kupitia G55.
Yule anashiriki tu kwa sababu ya nafasi aliyonayo na kuogopa hofu ya wanachama akionekana yupo kinyume watamshughulikia kama walivyofanya kwa Asenga. Yule ni kijana mtiifu wa Mbowe. Tumeona jumbe zake zilizovuja kwenye magroup yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.