Nilikuwa na tatizo kama lako karibu miaka 10 iliyopita nikatumia asali na mdalasini kila asubuhi na jioni. Kijiko kidogo kimoja cha asali changanya na robo kijiko mdalasini au utakavyoona mchanganyiko mzuri kwako. Tumia mwezi mmoja au zaidi. Asali ina sifa ya kuogeza kinga mwilini yaani uwezo wa...
Kununua Dongle kwa sasa ni pata potea maana wenyezao wana badilisha software kila wakati hivyo kufanya server za rafiki zetu wachico kushindwa kuhimili.
Hilo ndiyo jibu sahihi. Ni kawaida kwa dongle za Hawk kuwa hewani kwa muda fulani halafu kupotea na kurudi tena baadaye. Wakati mwingine inakubidi hata software. Kwa wale wanunuzi wapya walijue hilo. Ununuzi wa Dongle kwa sasa ni pata potea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.