Recent content by Sulusi jr

  1. S

    NIPENI ABCD ZA RWANDA NATAKA NIKATAFUTE MAISHA

    Hayo yote nimeyaona ila mi nataka niende huko
  2. S

    NIPENI ABCD ZA RWANDA NATAKA NIKATAFUTE MAISHA

    Hello guys, kati ya nchi ambazo natamni kwenda ni rwanda kiukweli moyo wangu unaniambia ntafanikiwa nikiwa kule mwenyeji anipe basi maelekezo nianzie wapi mi nikifika huko kazi yoyte ntapiga mhimu iwe legally ata viabarua2
  3. S

    Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

    🤣🤣🤣🤣Punguza makasiriko ipo siku na wewe utapata usinionee wivu kama unataka odds njoo pm nkupe odds tatu za uhakika
  4. S

    Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

    Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
Back
Top Bottom