huna uekewa ktk inshu za simu ndugu ndyo maana umepinga swala hilo ya work shop iliyo kamilika kila kitu vifaa vyote vya kutengeneza simu thamani yake ni zaidi ya hyo milioni 30 yani ukiwa na vifaa vya kisasa vyote hakuna simu utamwambia mteja sulimu imekufa mashine wala nini kila kitu kita kaa vzr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.