Huku tunakoelekea sasa hivi inatakiwa kuwa makini sana, na hasa kwenye siasa naona wengi wanajitokeza kutaka kugombea uongozi,lazimwa wapimwe akili,maana kwa sasa kila mtu anataka kuwa Rais wa nchi.
Kama kuna mdau hapa au memba wa jf ambaye yupo hospitali ya Taifa ya muhimbili atupe hizo information kuhusu huyu mtu kama ni kweli anahudhuria kliniki au nafile maeneo hayo,ili ukweli ujulikane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.