Hili ni wazo zuri sana kama serikali italifatisha, itaweza kuongeza kipato cha nchi kwa kasi ya 5G na pia itasaidia kuwanufaisha na raia wa kawaida kwani akifunga mfumo wa gesi utampunguzia gharama tofauti na anapotumia petrol.
Kazi nzuri kiongozi, nmekupa kura yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.