Recent content by suleiman ngosha

  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM Shinyanga Kunafuka moshi mweusi!!

    Nani atampa ubunge mgombea wa chadema ambaye hana hata choo shinyanga ,anafanya kampeni akitokea guest house
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM Shinyanga Kunafuka moshi mweusi!!

    Wewe ndiyo huijui shinyanga .na mnaanzisha thread kuudanganya umma .Masele anachukua jimbo kama kawaida na nchambi ndiyo hana mpinzani kabisa kishapu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM Shinyanga Kunafuka moshi mweusi!!

    Unaongea kitu ambacho huna uhakika.Upinzani shinyanga hakuna kabisa.na CCM watachukua majimbo yote.wadanganye wasio ijua shinyanga
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa abomoa hadhi ya CHADEMA

    Umemaliza huo ndo ukweli mwenye kuelewa kaelewa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kubenea: Lowassa kiboko

    Ni janga la kitaifa na mchumia tumbo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fredrick Sumaye unajidhalilisha sana kwa Lowassa

    Hayo ndo wasiotosheka hata aridhi yote wakipata wataomba na mbingu waimiliki
  7. S

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Mungu alisha sema kunawengine atawaziba masikio wasielewe lolote ndo hao
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Ndg ukisikia ngonjera ndo hizi kukurupukia mambo bila takwimu na bado utagundua mamabo ya ajabu mengi kwa hawa jamaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mwembeyanga wageuka shubiri kwa UKAWA

    Umekumbusha labda watairudia hiyo orodha tena na kujitaja wenyewe!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa awafungulie mashitaka Viongozi wa upinzani kwa Kumchafua

    Nalo neno anayekudhalilisha mpeleke mahamani ili wananchi wapete jibu kama kweli anaonewa
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    Hapo mwisho wa maelezo nauna nae
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tunachagua chama au mtu?

    Mtu kwanza chama baade
Back
Top Bottom