Na wewe Mkamap na Muheza acheni kuongea vitu msivyovijua hapa. Ningeelewa kama mngekuja na hoja za minutes za kikao,nimewapa hapo mnaanza mada za ajabu ajabu. Huo ndio nauita umbumbumbu!
Naweza nikakupa mambo tunayofanya watu wenye akili kwenye vikao vya East Africa Mbumbumbu wewe:
NUTES OF EA STUDENTS REPRESENTATIVES MEETING HELD ON 18/02/10 AT HUASHI ROOM 806
AGENDA
1. Opening prayer
2. Communication from the coordinator
· Briefing the new members
3...
Naongea kama mwenyekiti wa watanzania waishio wuhan
Sipendi kuendelea na mijadala huku.
Na kule kwenye yahoo group ni wanaKamati kuu tu ambao wanaruhusiwa kuchangia maoni yao kuhusu kujiunga kwetu na africa mashariki. Mmeshaanza kumtaja Husna bila sababu wakati nimemteua kwa mamlaka yangu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.